NYAMWEZI TEACHERS’ COLLEGE

S/N Program Name Category
1

STASHAHADA(DIPLOMA) YA UALIMU ELIMU YA SAYANSI NA HISABATI (HISABATI NA JIOGRAFIA)SECONDARY

Mwombaji awe amehitimu kidato cha sita(VI) na ufaulu usiopungua kiwango cha daraja la III (Division III) isiyopungua Principle Pass mbili (2) na Mwombaji aje na Cheti/Vyeti halisi au Result slip kama vyeti havijawa tayari. MUDA WA MASOMO: Miaka miwili (2) tu
College - Diploma
2

STASHAHADA(DIPLOMA) YA UALIMU ELIMU YA SAYANSI JAMII NA LUGHA (KISWAHILI NA LUGHA) SECONDARY

Mwombaji awe amehitimu kidato cha sita(VI) na ufaulu usiopungua kiwango cha daraja la III (Division III) isiyopungua Principle Pass mbili (2) na Mwombaji aje na Cheti/Vyeti halisi au Result slip kama vyeti havijawa tayari. MUDA WA MASOMO: Miaka miwili (2) tu
College - Diploma
3

STASHAHADA(DIPLOMA) YA UALIMU ELIMU YA SAYANSI NA BAOLOGIA (BAOLOGIA NA KEMIA)SECONDARY

Mwombaji awe amehitimu kidato cha sita(VI) na ufaulu usiopungua kiwango cha daraja la III (Division III) isiyopungua Principle Pass mbili (2) na Mwombaji aje na Cheti/Vyeti halisi au Result slip kama vyeti havijawa tayari. MUDA WA MASOMO: Miaka miwili (2) tu
College - Diploma
4

STASHAHADA(DIPLOMA) YA UALIMU ELIMU YA MSINGI

Mwombaji awe amehitimu kidato cha nne (IV) na ufaulu usiopungua kiwango cha daraja la III (Division III), au G.P.A isiyopungua 1.6 na Mwombaji aje na cheti / vyeti halisi au Result slip kama vyeti havijawa tayari. MUDA WA MASOMO: Miaka mitatu (3) tu.
College - Diploma
5

STASHAHADA(DIPLOMA) YA UALIMU ELIMU YA AWALI

Mwombaji awe amehitimu kidato cha nne (IV) na ufaulu usiopungua kiwango cha daraja la IV (Division IV)isiyopungua "D" Nne(4) na Mwombaji aje na cheti / vyeti halisi au Result slip kama vyeti havijawa tayari. MUDA WA MASOMO: Miaka mitatu (3) tu.
College - Diploma
6

STASHAHADA(DIPLOMA) YA UALIMU ELIMU YA MSINGI MAFUNZO KAZINI

Mwombaji awe amehitimu Ualimu Elimu ya Msingi wa Daraja la Tatu “A”( Miaka miwili (2) tu)
College - Diploma
FirstPrev Page 1 of 1  NextLast